Huyu ni Amina kisangi

Huyu ni ASUMPTA Mshana ni kati ya wabunge waliongoza kwa kuongea mambo ya siyo ya msingi ndani wakati wa mjadala wa EScrow yeye bila aibu alisimama na kuwatetea wezi wa Escrow lakini cha kusikitisha jimbo analoongoza la NKENGE huko mkoani kagera ni jimbo ambalo linakabiliwa na umasikini mkubwa sana tena wa kutisha lakini yeye bila mshipa wa aibu anasimama na kuwatetea watumiwa waliyochota mabilion ya fedha.wabunge kama hawa ni mizingo mitupu isiyokuwa na
faida kwa wananchi !!!! wakati wananchi wake wanakunywa maji machafu huko jimboni kwake yeye yupo bungeni anatetea wezi kwa nguvu zote

Huyu anaitwa Lusinde ni kati ya wabunge waliongoza kwa kuongea mambo yasiyokuwa na maana ndani ya bunge kwa kiswahili kizuri aliongoza kwa kuongea pumba zaidi bila kujali kuwa kulikuwa na watu wengi wanamtazama siku hiyo!!!! huyu LUSINDE kwa upande fulani alitetea watuhumiwa wa ESCROW kwa kupitia hoja dhaifu sana bila kuweka uzalendo mbele
Huyu anaitwa Richad Ndasa wakati wananchi wake wanakabiliwa na umasikni mkubwa kutokana na ufisadi unaofanywa na baadhi ya viongozi yeye bila mshipa wa aibu anasimama na kuwatetea mafisadi bungeni!!!!!
ndugu wasomaji wabunge kama hawa tusiwe tunawapa nafasi ya kwendaa bungeni kwasababu hawana faida yoyote kwa wananchi maana ya kazi ya mbunge ni kutetea wananchi na siyo kutetea viongozi wezi kama wanavyofanywa hakika wametia aibu sana na wamesaliti wananchi wao ambao ndiyo masikini zaidi
No comments:
Post a Comment