Baaadhi ya viongozi waliochaguliwa wakati wa uchaguzi wa serikali za Mitaa,vijiji na Vitongoji uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana. |
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Joshua Nassari akiwasili katika mkutano huo. |
Mbunge Nassari akiwa na viongozi wa chama cha NCCR-Mageuzi wakati wa mkutano huo. |
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano huo. |
Mh Nassari na Mh Mbatia wakitoa salamu kwa mamia ya wananchi waliohudhuria mkutano huo . |
Mamia ya wananchama na mashabiki wa chama cha NCCR-Mageuzi wakimsikiliza ,Mh Mbatia(hayupo pichani) |
No comments:
Post a Comment