TIGO YATOA UDHAMINI KWA WASHINDI WA TIGO NGORONGORO RUN KUSHIRIKI TIGO KILI HALF MARATHON 2015

Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Kanda ya Kaskazini, David Charles akipeana mkono na Alphonce Felix mara baada kutangaza udhamini wa Kampuni ya Tigo kwa wanariadha walioshinda mbio za Tigo Ngorongoro Run Marathon mwaka jana waweze kushiriki mbio za mwaka huu za Tigo Kili Half Marathon zitakazofanyika tarehe 1 machi Moshi Mkoani Kilimanjaro. Pembeni anayeshuhudia ni Mwanariadha Mary Naali.
No comments:
Post a Comment