Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za
mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu mama mzazi wa Mkurugenzi
Mkuu wa Takukuru, Dkt. Ewdard Hose, Mama Esther Gigwa, wakati wa
shughuli za maziko zilizofanyika nyumbani kwa Mkurugenzi huyo, Masaki
jijini Dar es Salaam, leo Feb 27, 2015. Picha na OMR |
No comments:
Post a Comment