Tuesday, April 21, 2015

AUDIO--SIKILIZA MANENO YA MNYIKA ALAFU UNIPE COMENT YAKO,AMESEMA AU HAJASEMA?


Wakati mikutano ya kisiasa kati ya vyama viwoili nchin tanzania yani CHADEMA NA ACT ikiendelea kushika kasi huku kila mmoja akiimtupia maneno mwenzake juzi iliibuka mpya baada ya mbunge wa chadema ubungo JOHN MNYIKA kunukuliwa na baadhi ya magazeti akimtaja ZITTO KABWE kama adui namba mmoja wa CHADEMA.baada ya maneno hayo tumekuwekea AUDIO ya mkutano huo usikilize mwenyewe kwani Tayari mbunge huyo amekanusha kuwa hakusema hivyo .
..utetezi wa MNYIKA jana huu hapa usikilize

Gazeti la Uhuru leo limeandika uzushi: Ukweli ni kuwa katika mikutano yetu‪#‎Mwanza‬ ‪#‎Mara‬ nimesisitiza na nitaendelea kusisitiza adui yetu mkuu ni CCM, tumwondoe Oktoba

Like · Comment · 

No comments: