Alifika
kituoni akiwa bado anatumia kiti cha magurudumu matatu (wheel chair) na
alikubaliana na wapelelezi kwamba akaendelee na matibabu na anatakiwa arudi
kuripoti tarehe 09/04/2015 ili aweze kuendelea na mahojiano kuhusu tuhuma za
kumkashfu na kumtukana Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama
Polycarp Kardinali Pengo.
S. H. KOVA,
KAMISHNA WA POLISI KANDA MAALUM,
DAR ES SALAAM
No comments:
Post a Comment