Thursday, April 23, 2015

MBOWE NAYE AINGIA KAZINI MWENYEWE--TIZAMA PICHA ZA AWALI ZA ZIARA YAKE HAPA


Mwenyekiti wa chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA ameanza ziara ya siku sita katika mikoa mbalimbali ikiwa n mpango maalum wa chama hicho kutoa mafunzo maalum kwa viongozi wao wa kila eneo jinsi ya kushinda uchaguzi mkuu ujao pamoja na jinsi ya kulinda kura Hapa ni Kijijini Lagangabilili jimbo la Itilima mkoani Simiyu

Baada ya uzinduzi wa FTP 200 ambao ni mpango wa ulinzi wa kura.








No comments: