Saturday, May 2, 2015

TIZAMA PROFESA J NA MSIGWA JANA MIKUMI

Jana jioni mbunge wa Iringa mjini mh PETER MSIGWA na mwanamuziki ambaye anawania ubunge jimbo la mikumi PROFESAJ jana walifanya mkutano wa kisiasa katika jimbo hilo la mikumi na kuhudhuriwa na wanachama mbalimbali wa chadema kwa ajili ya kuwasikiliza.hapa nimekuwekea baadhi ya picha za mkutano huo 


No comments: