Sunday, July 5, 2015

BREAKING NEWZZ----ZANZIBAR KIMEELEWEKA URAIS JINA LA MGOMBEA HILI HAPA


U Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana kupitisha Jina la Mgombea wa Urais wa Zanzibar.
 Habari ambazo mtandao huu umezipata ni kuwa kamati maalum ya CCM zanzibari wamemteua Dk Ali Mohamed Shein kugombea urais wa zanzibar katika uchaguzi ujao,tukatuka taarifa baadae
VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa wamesimama baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano.

No comments: