![]() |
Naibu waziri wa Viwanda na biashara na mgombea ubunge wa jimbo laileje mkoani Songwe, Janet Mbene akisalimiana na vijana waliotokeakumlaki katika kata ya isoko walayani hapo. Picha na Humphrey Shao
|
![]() |
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akipokea zawadi ya ungo kutoka kwa mwakilishi wa wasuka ungo wa bundali. Picha na Humphrey Shao.
|
No comments:
Post a Comment