Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Benki ya EXim, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Eng. Futakamba Mbogo (katikati) na Mshauri wa Kampuni ya TBEA, Skander Ettab, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leoJulai 21, 2015 kwa mazungumzo. Picha na OMR
|
No comments:
Post a Comment