Sunday, July 5, 2015

MWAKILISHI WA DANGOTE NA MNADHIMU MKUU WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE MTWARA

Mwakilishi mkazi wa Dangote, Eser Baruti akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi ,JWTZ Luteni Jenerali, Samweli Ndomba walipotembelea kiwanda cha Saruji cha Dangote hapo jana (Picha na Haika Kimaro

Mnadhimu mkuu wa Jeshi JWTZ, Luteni Jenerali, Samweli Ndomba (katikati) kushoto, Msimamizi wa Ujenzi kiwanda cha Saruji Dangote, Vidya Dixit na kulia ni Meneja wa kampuni ya kusambaza gesi (GASCO) Kapuulya Musomba wakizungumza wakati wa walipotembelea kiwanda hicho

,Msimamizi wa ujenzi kiwanda cha Saruji, Dangote,Vidya Dixit akimwelezea Mnadhimu Mkuu wa Jeshi, Luteni Jenerali ,Samwel Ndomba na wenzake alioambatana nao kutembelea mradi huo, namna ambavyo mradi wa ujenzi unavyoendelea.(Picha na Haika Kimaro)



No comments: