Maandalizi ya mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa umoja wa katiba ya wananchi UKAWA kesho hapa viwanja vya jangwani sasa yamefikia hatua nzuri.hapa nimekuwekea picha kadhaa za nilichokishughudia muda huu hapa jangwani mafundi wakendelea kupandisha majukwaa kwa ajili ya shughuli hiyo ya kesho.unaweza kutizama picha hapa |
No comments:
Post a Comment