Hapa kuna mkusanyiko wa matukio mbalimbali katika mkutano wa Ufunguzi wa kampeni za umoja wa katiba ya wananchi UKAWA katika viwanja vya jangwani leo jioni,sasa mdau wangu nimekutana na baadhi ya mabango nikapenda nije kushare na wewe utizame watanzania walichokuwa wanakisema katika mkutano huo,story na uchambuzi wa maswala yaliyojitokeza katika mkutano huo ntakuwa nakupa kuanzia leo na kuendelea mdau wangu |
No comments:
Post a Comment