Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Sept 7, 2015 kwa mazungumzo. Picha na OMR
|
No comments:
Post a Comment