Kiongozi wa timu ya kuvuta kamba ya Polisi Morogoro Mwinyi Jumbe, akikabidhiwa zawadi ya mbuzi baada ya kuwa mabinga katika mzcheo huo kwaye tamasha la Tigo Corporate Event
|
Mabigwa wa netball katika bonanza la Tigo Corporate Event timu ya polisi morogoro wakiongozwa na Angel Anord (katikati) wakikabidhiwa zawadi ya mbuzi baada ya kutwaa ubingwa katika bonanza hilo |
Kocha wa Timu ya mpira wa miguu ya Sua Ngabo Jankson(katikati) na nahodha wa timu hiyo Ally Bakari (kulia wakipokea ngao ya ubingwa wa Togo Corporate event kutoka kwa meneja mahusiano John Tungaraza.
|
Meneja wa tigo moka wa Morogoro na Tanga Abasi Abel akisalimiana na wachezaji wa timu ya polisi chipolopolo katika ufunguzi wa bonanza la Tigo Corporate Event mkoani Morogoro
|
Kikundi cha burudani cha Da Hustler dances cha mkoani morogoro kikifanya onyesho katika nonanza Tigo Coprorate Event lililofanyika katika viwanja vya shule ya msingi Solomon Mahlangu morogoro.
|
Mchezaji wa timu ya netball ya St. Joseph, Salome John akifunga doli katika mchezo wao dhidi ya timu ya tigo. Kwnye mchezo huo Tigo walilala kwa vikapu 5-0. |
Kijana Alexanda Joeli akikimbia na gunia katika bonaza la Tigo Corporate Event ilililofanyika katika viwanja vya hule ya msini Solomon mahlangu, mazimbu kampus
|
No comments:
Post a Comment