Mtu wangu nimefanikiwa kupita katika Jiji La Moshi kipindi hiki cha siasa kumekuwa na harakati nyingi za siasa ambazo zimefanya mji huu uchangamke zaidi ya ulivyokuwa kabla ya hapo,hapa nimekuwekea Taswira mbalimbali ya picha jinsi maswala ya siasa yalivyouteka mji wa moshi kwa sasa,ukiingia tu Mji huu kwa sasa lazima ukutane na mabango,Bendera,pamoja na viajana wa vyama mbalimbali wakiwa na hamasa ya uchaguzi tofauti na miaka ya awali,unaweza kufaidi Picha za matukio yote hapa mdau |
No comments:
Post a Comment