Kutoka
kushoto kwenda kulia – Mkurugenzi wa kitengo
cha Uhandisi wa Tanzania International Container Terminal Services Ltd (TICS) Cornelius
Kwadijk, Mkurugenzi wa Maendeleo, Donald Talawa, Meneja rasilimali watu, Sadick Abdalla na Mwalimu mkuu wa shule
ya sekondari ya Kurasini Florentine
Assenga wakipanda miti katika shule hiyo jijini Dar es Salaam jana. Miche hiyo 250,
mbolea na udongo wa kuistawisha imetolewa na TICS katika kampeni yake yenye
kauli mbiu ya GO Green. |
No comments:
Post a Comment