Sunday, September 6, 2015

VIDEO-Maoni ya wamama hawa wa UKAWA unaweza kuyatizama hapa

Hii ni kumbukumbu katika pita pita zangu nilikutana na hawa kina mama wakiwa wanatoa malalamiko yao juu ya serikali yao,nimerekodi video yao hapa unaweza kuwasikiliza na kutoa maoni yako juu ya hoja zao.Karibu mdau

No comments: