Maandalizi yakiendelea ukumbini hapo |
Jinsi screen za TV zitavyokuwa zikitoa matokeo rasmi |
Macho na masikio sasa yanaangazia ukumbi wa Julius Nyerere International Convention centre ambako kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi Mhe. Kailima Ramadhani ndipo matokeo ya Rais awamu ya kwanza yataanza kutangazwa leo Jumatatu saa 4 asubuhi, saa 7 mchana na saa 10 jioni. |
No comments:
Post a Comment