Jimbo la Mlimba Suzan kiwanga wa Chadema ameshinda kwa kura 40,068
Jimbo la Kilombro ameshinda Peter Ambros Lijuakali wa Chadema ameshinda kwa kura 52,158
Jimbo la Babati mjini Pauline Gekuli wa Chadema ameshinda kwa kura 21,970
Jimbo la Moshi mjini Jaffari Michael wa Chadema ameshinda kwa kupata kura 51,646
Jimbo la Bukoba mjini Wilfred Lwakatare wa Chadema ameshinda
Tarime vijijini akishinda John Heche
Jimbo la Hai Freeman Mbowe wa Chadema ameshinda
Jimbo la Buyuni Kigoma ameshinda Kasuku Bilago wa Chadema
Mkinga ameshinda Dustan Kitandulu wa CUF
Jimbo la Tandahimba ameshinda Ahmad Katani wa CUF
Jimbo la Moshi Mjini Japhary Michael wa Chadema
Jimbo la Monduli Julius Kalanga (Chadema)
Jimbo Buyungu Bilago Samson Chadema)
Jimbo la Mbeya Mjini: Joseph Mbilinyi wa Chadema
Jimbo la Same Mashariki:Naghenjwa Livingstone Kaboyoka wa Chadema
Jimbo la Ndanda Cecil Mwambe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Jimbo la Singida Mashariki: Tundu Lissu wa Chadema,
KAMANDA - Ester N Matiko - Tarime Vijijini
KAMANDA - Ester Bulaya - Bunda Mjini
KAMANDA - Dk. Godwin Mollel- Siha
KAMANDA- Joshua Nassari- Arumeru Mashariki
KAMANDA - Frank Mwakajoka - Tunduma
Mgombea Ubunge Jimbo la Mikumi (CHADEMA), Joseph Haule (Prof Jay), ameshinda Ubunge kwa jumla ya kura 32259 na kutangazwa rasmi kuwa mshindi wa Jimbo hilo
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya Chadema, Saed Kubenea ametangazwa rasmi mshindi katika jimbo hilo na kumshinda Dr.Didas Masaburi wa CCM
NEC yamtangaza James Mbatia (NCCR Mageuzi) kuwa mshindi katika kinyang’anyiro cha kuwania ubunge jimbo la Vunjo baada ya kupata kura 60,187 dhidi ya Augustine Mrema (TLP) aliyepata kura 6,416
Joseph Mbilinyi (Sugu) aliyekuwa mbunge jimbo la Mbeya mjini amefanikiwa kutetea jimbo lake kwa kupata kura zaidi ya elfu 67
No comments:
Post a Comment