Tuesday, January 12, 2016

MAJALIWA AENDE MHUMBILI KUMSALIMIA SUMAYE NA BALOZI KIBELLOH

YE1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri Mkuu, Mstaafu Frederick Sumaye  ambaye amelazwa  katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa matibabu Januari 12, 2016. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

YE2
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  na mkewe Mary (wapili kushoto)  wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amnaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa Matibabu Januari  12, 2016. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mama Esther Sumaye. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
YE3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimpa pole Balozi Hassan Kibelloh ambaye amelazwa katik hospitali ya taifa y Muhimbili kwa Matibabu Januari 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: