Katika kutekeleza agizo la rais ,JOHON POMBE
MAGUFULI,kuhusiana na ukusanyaj wa kodi kwa usahii,MSTAHIKI MEYA ,wa manispa ya temeke ABDULAH CHAUREMBO
amesisitiza kuboresha mifumo ya mapato ilikuweza kupata mapato mengi ya ndani
katika manispaa hiyo.
Ameongea hayo leo katika baraza la madiwan la manispaa hiyo
amewataka wakuu wa idara mbalimbali kutekeleza miradi iliyopo kwa wakati na kuepuka
kukaa nayo maofisin,kwan wananchi waleo sio wajana wananchi waleo wanaitaj
maendeleo tu
Akizungumza diwani wa, SOMANGIRA,FRANCIS MASANJA CHICHI
amesema katika kata yake inatatizo kubwa la uhaba wa shule hivyo kufanya
watoto wanaofaulu kutembea umbali mlefu kwenda shuleni,ivyoimekuwa ikichangia
utoro mashulen,ikiwemo wanafunz kutokufika shuleni kwa wakati ivyo jambo ilo
limekuwa likichangia elimu kushuka katika kata hiyo,aidha ameiomba
serikali kuangalia swala zima lakuongeza shule katika kata hiyo
Aidha mkurugenzi wa manispaa hiyo,PHOTIDAS KAGIMBO,amesema
wameweza kutekeleza miradi kwa asilimia kubwa mpaka sasa,ikiwemo
shule,hospital,mahabara,pia manispaa imeweza kukusanya mapato ya ndan kwa wingi
na ubunifu ivyokupelekea kupata hati safi katika kipindi kilichopita ivyo
amewataka madiwan kutoa ushirikiano kwao ilikupeleka gurudumu la maendeleo
mbele katika manispaa hiyo.
No comments:
Post a Comment