Viongozi wa Dini na Vikosi vya
Ulinzi wakifuatana kuelekea katika jukwa maalum la kuapishwa Rais Mteule
wa Zanzibar katika uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya heshma kwa
Vikozi vya Ulinzi na Usalama baada ya kuapishwa Rasmi katika wamu ya
pili ya Uongozi wa awamu ya 7 leo katika Uwanja wa Amaan Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.]
Kikosi cha Bendera na Vikosi mbali mbali vya Ulinzi wakitoa heshama kwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
baada ya kuapishwa Rasmi katika awamu ya pili ya Uongozi wa awamu ya 7
leo katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Kikosi cha KMKM kikitoa salamu ya heshma kwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
baada ya kuapishwa Rasmi katika awamu ya pili ya Uongozi wa awamu ya 7
leo katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment