Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa,akiweka saini katika kitabu
cha maombolezo ya msiba wa mama wa Mbunge wa Muleba Kusini,Profesa Anna
Tibaijuka, alipofika kutoa pole kwa wafiwa.Katikati ni Naibu Waziri wa Nishati
na Madini,Dk. Medard Kalemani na anayefuatia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni ,ambao waliongozana na Waziri Mkuu
kwenda kutoa pole kwa wafiwa.
|
No comments:
Post a Comment