|
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa duka jipya la TIgo wilayani Handeni mkoani Tanga kulia kwake ni Mkuu wa willaya ya Handeni mhe. Halima Rajab Msangi uzinduzi huo umefanyika mapema wiki wilayani Handeni. |
|
Mkuu wa wilaya ya Handeni Mhe. Halima Rajab Msangi (wa pili kulia) akikata utepe kuzindua duka jipya la Tigo wilayani humo. Wengine mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles(wa pili kushoto), Meneja huduma kwa wateja kanda ya Pwani, Isaack Shoo (kulia) na Msimamizi wa Duka la Tigo Handeni, Zuhuru Omary. uzinduzi huo umefanyika mapema wiki wilayani Handeni. |
|
Meneja huduma kwa wateja kanda ya Pwani, Isaack Shoo akitoa maelezo kuhusu simu zinazouzwa katika duka jipya la Handeni kwa mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Handeni Mhe. Halima Rajab Msangi anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles uzinduzi huo umefanyika mapema wiki wilayani Handeni mkoani Tanga. |
Mkuu wa willaya ya Handeni Mhe. Halima Rajab Msangi akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles na wafanyakazi wa Tigo wa duka la Handeni mara baada ya uzinduzi uliofanyika mapema ya wiki wilayani Handeni mkoani Tanga.
No comments:
Post a Comment