PICHA--WANANCHI MTWARA WAUNAGANA NA MKUU WA MKOA HUO KUFANYA USAFI
Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Fatuma Ally na Mwenyekiti wa CCM mkoa Mohamed Sinani wakifanya usafi.
Mkuu wa mkoa wa Mtwara,Halima Dendego(mwenye kitambaa chekundu kichwani) akiongoza wananchi kufanya usafi eneo la Bima kampeni iliyoanzishwa na kituo cha radio cha Pride. Kushoto ni mkuu wa wilaya, Fatuma Ally.
No comments:
Post a Comment