Monday, June 6, 2016

VIDEO--RAIS MROPOKAJI HATUFAI ATAUA WATU-TIZAMA HII KAULI YA ZITTO KABWE JANA MBAGALA

Hii ni story ya mwisho niliyokuandalia kutoka katika mkutano wa ACT WAZALENDO mabagala jana jioni ambao uliongozwa na mbunge ZITTO KABWE,hii ni kauli nyingine kali sana aliyoitoa jana katika mkutano huo akijaribu kulinganisha kauli za Mh Rais na matendo yanayoendelea nchini,Nakupa nafasi ya kufwatilia kila kilichotokea jana,ASANTE

No comments: