Friday, June 3, 2016

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI DODOMA

cos1Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi bungeni mjini Dodoma Juni 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
cos2Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (kulia)  na Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Nape Nnauye wakiteta na Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah Bungeni mjini Dodoma Juni 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
cos4Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maaluum, Lucy Mayenga kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
cos5Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa CCM kutoka Wilaya ya Ruangwa, Salum Seif Mapatu (kushoto) na Idrisa Said Mtalika kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
cos6Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Jakaya Kikwete kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
cos7Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Mzumbe waliotembelea Bunge kwa Mwaliko wa Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete  (mwenye kanzu katikati) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: