Mkurugenzi wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Diego Gutierrez (kushoto) akijibu swali wakati wa mahojiano kwenye mkutano wa wadau wa Makampuni ya simu Duniani (GSMA) wanaokutana jijini Dar es Salaam. |
Wadau wa habari wakiwa katika banda la Millicom ambayo ni kampuni mama ya kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Tanzania. |
No comments:
Post a Comment