EXCLUSIVE VIDEO-KUTOKA BAVICHA KUELEKEA UKUTA SEPTEMBER MOJA
Wakati watanzania wakijiandaa kutizama kitakachotokea Tarehe moja siku ambayo imetangazwa na CHADEMA kuwa itanyika mikutano ya nchi nzima kupinga hali ya kisiasa iliyopo nchini.
Tanzania Baraza la vijana BAVICHA nao wameibuka na kuunga mkono hatua hiyo huku wakipinga kauli ya mkuu wa mkoa aliyoitoa akiwataka FFU kuzima mikutano na maaandamano hayo.
VIDEO YA KWANZA NIMEKUWEKEA KAULI YA MWENYEKITI WA BAVICHA KUHUSU KAULI YA MAKONDA
No comments:
Post a Comment