Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akiwa amesimama wakati askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani(hwapo pichani), wakiimba wimbo wa maadili wa Jeshi la Polisi. Kushoto ni Naibu Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Abdulrahman Kaniki na kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamanda Mohamed Mpinga. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment