Wanakikundi wa chuo cha kilimahewa wakitumbuiza mara baada ya uzinduizi rasmi wa Fiesta Jijini Mwanza. |
IMOOOOO! |
Wanakikundi wa utamaduni vijana wakitumbuiza mara baada ya uzinduizi rasmi wa Tigo Fiesta 2016 Jijini Mwanza. |
Wanakikundi wa utandawazi kutoka ukeerewe wakitumbuiza mara baada ya uzinduizi rasmi wa Tigo Fiesta 2016 Jijini Mwanza jana. |
Waziri wa habari, utamaduni na michezo, Mhe. Nape Mnauye akiongea na wakazi wa mkoa wa Mwanza wakati wa uzinduzi wa msimu wa Tigo Fiesta 2016 kwenye viwanja vya Furahisha jana. |
No comments:
Post a Comment