Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jeneral Davis Mwamunyange akiwa pamoja na Maafisa na wapiganaaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakimpigia makofi Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati akizungumza katika kilele cha kilele cha Maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Air Wing Ukonga jijini Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment