Naibu kiongozi Mkuu wa waislam Shia Ithnasheriya Tanzania Sheikh Muhammad Abdi akiwaongoza waumini wa Dini hiyo kuchangia damu kwa watanzania wanaohitaji damu ikiwa ni zoezi ambalo limefanyika kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Mjukuu wa mtume Muhammad (s.a.w.w) Imam Hussen (a,s) ambaye naye alijitolea Damu yake kwa ajili ya kutetea haki na Ubinadamu na kupinga kila aina ya unyanyasaji na dhuluma anayofanyiwa mwanadamu.Zoezi hili limefanyika katika msikiti wa Kigogo Post mara baada ya swala ya Ijumaa. |
No comments:
Post a Comment