Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Zelote Stephen akitoa taarifa
ya mkoa na ya vyombo vya usalama wa mkoa huo kwa Naibu Waziri wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni(kulia), wakati wa ziara ya Naibu Waziri kutembelea idara zilizopo chini
ya wizara yake.( Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
|
Naibu Waziri wa Wizar ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni, akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Zelote Stephen
mara baada ya kumaliza kupokea taarifa ya mkoa na ya vyombo vya usalama wa mkoa
huo wakati wa ziara ya kikazi mkoani hapo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
|
|
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni, akizungumza wakati alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza mkoa
wa Rukwa kwa ziara ya kikazi.Kulia ni wakuu wa jeshi hilo mkoani hapo wakimsikiliza. (Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi)
|
|
Afisa Uhamiaji Mkoa wa Rukwa, Kamishna Msaidizi Selemani Kameya
akisoma taarifa ya utendaji kazi ya Mkoa huo kwa Naibu Waziri wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati wa ziara ya kikazi ya
Naibu Waziri huyo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
|
|
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, ACP George Kyando
akizungumzia Mradi wa Ujenzi wa ofisi wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni alipotembelea jengo hilo kuona maendeleo
ya mradi huo na kuwataka kutumia rasilimali watu ya wafungwa waliopo mkoani
hapo ili kuweza kukamilisha ujenzi huo wakati wa ziara ya kikazi aliyoifanya
mkoani hapo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
|
|
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni, akipokea risala kutoka kwa askari wa Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji mkoani Rukwa aliyoisoma kwa niaba ya wenzake ikiwa na maombi
mbalimbali yaliyoelekezwa kwa wizara. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
|
|
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Simiyu, Paul Mzindakaya baada ya kumaliza kupokea taarifa ya hali ya usalama
mkoani Rukwa wakati Naibu Waziri alipokuwa mkoani humo kwa ziara ya kikazi.(Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
|
No comments:
Post a Comment