Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni (kushoto),
akikagua hati ya kusafiria ya mwananchi kutoka nchi ya Malawi, Miston
Chikankheni aliyekuwa anaingia nchini
katika Kituo cha Uhamiaji Kasumulu, wilayani Kyela mkoa wa Mbeya. Naibu Waziri
yupo wilayani Kyela kwa ziara ya kikazi. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
|
No comments:
Post a Comment