Kamishna
wa Jeshi la Magereza Divisheni ya Utawala na Fedha,Gaston Sanga, akitoa maelezo
kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira, wakati wa kikao cha ndani
kilichoshirikisha Idara zilizopo ndani ya wizara.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es
Salaam.Kulia ni Kamishna wa Fedha Jeshi
la Polisi Albert Nyamuhanga.Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
|
No comments:
Post a Comment