| Wanafunzi mbalimbali kutoka shyule nne za Dar es salaam zilizoshindanishwa leo zikiwemo,Feza,Jitegemee,Tusiime,pamoja na Kibasila Secondary ambapo washindi mbalimbali wamejinyakulia zawadi katika mashindano hayo |
| John Kishefu ambaye ni mwalimu mwandamizi wa Taaluma Tusiime akiwapa maneno wanafunzi ambao wamehudhuria katia mashindano hayo. |
| Meneja Msaidizi wa Shule za Tusiime Bwana Laurent Gama akizungumza. |
No comments:
Post a Comment