Saturday, June 3, 2017

RAIS MAGUFULI AMTEUA ANNA MGWHIRA KUWA MKUU WA MKOA KILIMANJARO


IKULU: Rais Magufuli amemteua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, mama Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akijaza nafasi ya Said Meck Sadick aliyejiuzulu.

No comments: