Friday, August 4, 2017

PICHA JINSI WAFUASI WA CUF WALIVYOCHAPANA MAKONDE MAHAKAMANI


SeeBait
Wanachama wanaomuunga mkono Maalim Seif na wale wanaomuunga mkono Prof. Lipumba wamepigana wakiwa eneo la Mahakama Kuu ya Tanzania leo.

No comments: