Alicia akiendelea kushamyulia jukwaa la Tigo fiesta Jijini Arusha mapema mwishoni wa wiki iliyopita. |
Msanii wa Ben Pol akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamasha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana |
Aslay akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamsha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana |
Umati wa wakazi wa Arusha wakiwa katika kushuhudia burudani ya Tigo Fiesta |
Shangwe za Tigo fiesta zikiendelea |
Vanesa Mdee akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamsha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana |
Jux akilishambulia jukwaas la Tigo Fiesta |
Maya Sama akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta |
Msaga sumu akitumbuiza katika jukwaa la tigo Fiesta. |
Young D akishambulia jukwaa la Tigo fiesta usiku wa kuamkia juzi Jijini Arusha. |
No comments:
Post a Comment