TGNP Mtandao wametoa mapendekezo kadhaa mara baada ya kumalizika kwa tamasha la jinsia kwa mwaka 2017 lililodumu kwa muda wa siku 4 kuanzia tarehe 5 mapka 8 ya mwezi septemba .
Wakiongea katika mkutano na waandishi wa habari viongozi wa TGNP Mtandao akiwa Mwenyekiti wa Bodi Bi. Vicensia Shule pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Bi. Lilian Liundi miongoni mwa msisitizo wao ulikuwa ni katika swala la watoto wa kike kupatiwa pedi za kujihifadhi wakati wa hedhi,
KUJUA MENGI ZAID WALIYOONGEA CLICK HAPA..
No comments:
Post a Comment