Thursday, February 15, 2018

Meya Wa Jiji la Dar es Salaam Azindua Stika Za Usafiri Kwa Njia Ya Mtandao (UBER)

Stahiki meya wa jiji Mhe Isaya Mwita Akionyesha mfano wa stika kuashria uzinduzi wa stika za usafiri kwa njia ya mtandao (UBER) stika zitakazouzwa kwa Tsh 80,000/ jijini Dar es salaam, kulia kwake ni Meneja Msimamizi wa UBER Tanzania Bw. Alfred Msemo, Na kushoto kwake ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi Wa Polisi Kikosi Cha Usalama Barabarani (SACP) Fortunatus Musilimu mapema leo 15 Feb 2018 jijini Dar es salaam.
Kamishna Msaidizi Mwandamizi Wa Polisi Kikosi Cha Usalama Barabarani (SACP) Fortunatus Musilimu Akizungumza katika halfa ya uzinduzi wa stika za usafiri kwa njia ya mtandao (UBER) mapema leo 15 Feb 2018 katika hoteli ya serena jijini Dar es salaam
Meya Wa Jiji Mhe Isaya Mwita na Meneja Msimamizi wa Uber Tanzania Bw. Alfred Msemo Wakifatilia hotuba ya Kamishna Msaidizi Mwandamizi Wa Polisi Kikosi Cha Usalama Barabarani (SACP) Fortunatus Musilimu (hayupo pichani) katika halfa ya uzinduzi wa stika za usafiri kwa njia ya mtandao (UBER) mapema leo 15 Feb 2018 katika hoteli ya serena jijini Dar es salaam.
Meya Wa Jiji La Dar Mhe Isaya Mwita akizungumza katika halfa ya uzinduzi wa stika za usafiri kwa njia ya mtandao (UBER) mapema leo 15 Feb 2018 katika hoteli ya serena jijini Dar es salaam.
kamishna msaidizi Mwandamizi wa Polisi kikosi cha usalama barabarani (SACP) Fortunatus Musilimu na Meneja Msimamizi wa Uber Tanzania Bw. Alfred Msemo, Wakifatilia hotuba ya Stahiki Meya Wa Jiji Mhe Isaya Mwita (hayupo pichani) katika halfa ya uzinduzi wa stika za usafiri kwa njia ya mtandao (UBER) mapema leo 15 Feb 2018 katika hoteli ya serena jijini Dar es salaam.
Meneja Msimamizi wa Uber Tanzania Bw. Alfred Msemo, Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa stika za usafiri kwa njia ya mtandao (UBER) mapema leo 15 Feb 2018 katika hoteli ya serena jijini Dar es salaam.
Askari Kutoka Makao Makuu Ya Kikosi Cha Usalalma Barabarani wakifatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika hafla ya uzinduzi wa stika za usafiri kwa njia ya mtandao (UBER) mapema leo 15 Feb 2018 katika hoteli ya serena jijini Dar es salaam.


Washiriki katika hafla hiyo wakifatilia mada mbalimbali zinazowasilishwa katika halfa ya uzinduzi wa stika za usafiri kwa njia ya mtandao (UBER) mapema leo 15 Feb 2018 katika hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.
Meya Wa Jiji Mhe. Isaya Mwita akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu namna mradi huo utakavyokuwa na manufaa kwa wakazi wa jiji katika hafla ya uzinduzi wa stika za usafiri kwa njia ya mtandao (UBER) mapema leo 15 Feb 2018 katika hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.


Washiriki katika hafla hiyo wakifatilia mada mbalimbali zinazowasilishwa katika halfa ya uzinduzi wa stika za usafiri kwa njia ya mtandao (UBER) mapema leo 15 Feb 2018 katika hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.
Meya wa Jiji Mhe. Isaya Mwita akimkabidhi mmoja wa madereva wa magari ya UBER, Stika katika halfa ya uzinduzi wa stika za usafiri kwa njia ya mtandao (UBER) mapema leo 15 Feb 2018 katika hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.
Meya Wa Jiji Mhe. Isaya Mwita katika picha ya pamoja na baadhi washiriki wa uzinduzi hafla ya uzinduzi wa stika za usafiri kwa njia ya mtandao (UBER) mapema leo 15 Feb 2018 katika hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.

No comments: