Thursday, February 15, 2018

WCB WASAFI KUFUNGUA TAWI JIPYA NCHINI KENYA

Picha inayohusiana
CEO wa WCB Wasafi Diamond Platnumz amasema kuwa baada ya kuvumbua vipaji vipya vingi nchi Tanzania sasa fursa hiyo imehamia nchini kenya.

ameandika katika ukurasa wake wa instagram kuwa kwa sasa wao kama WCB wameamua kufungua tawi lingine nchini kenya ili kuendeleza vipaji vya vijana wa mtaani ambao hawapewi nafasi ya kuonyesha uwezo wao.

Kupitia mtandao huo, Diamond ameandika:
Kama unavyofaham mwaka huu @wcb_wasafi tunafungua Tawi jipya nchini Kenya, Maalum kwajili ya kuendelea kunyanyua vijana wenzetu wenye Vipaji tokea mtaani.. tafadhali nisaidie kuwatag vijana wote wenye Vipaji kenya, akianziwa na Huyu…)

No comments: