Saturday, February 3, 2018

SHERIA MPYA YA MADINI YA MWAKA 2017 INATAKA KURUDISHA UCHUMI KWA WANANCHI: MHE BITEKO


Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akizungumza na Uongozi wa Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga ambapo amesisitiza viongozi kusimamia Kanuni na taratibu juu ya usimamizi wa madini, leo 3 Februari 2018. Picha Zote Na Mathias Canal
Kamati ya ulinzi na usalama Wilaya ya Kahama ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Fadhil Nkulu wakisikiliza maelekezo mbalimbali kutoka kwa Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko alipozuru Wilayani humo kwa ziara ya kikazi, Leo Februari 2018.
Mgeni Rasmi-Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akizungumza wakati wa kikao cha kazi na Uongozi wa Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga aakiwa katika ziara ya kikazi, leo 3 Februari 2018.

Na Mathias Canal, Shinyanga

"Sheria mpya ya madini ya mwaka 2017 inataka kurudisha uchumi wa madini kuwa uchumi fungamanishi kwa sekta nyingine, Hatuwezi kuwa na Mgodi ndani ya nchi ambao ajira zote zinapelekwa nje ya nchi kupitia huduma mbalimbali, unaweza kuagiza bidhaa za kila aina kutoka nje ya nchi lakini huwezi kuagiza ajira za wananchi wako zitoke nje kuja ndani, kamwe haiwezekani" 

Ni Kauli ya Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko leo 3 Februari 2018 wakati akizungumza na Uongozi wa Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga ambapo amesisitiza zaidi viongozi wa serikali katika maeneo yao kusimamia Kanuni na taratibu juu ya usimamizi wa madini.

Mhe Biteko alikaririwa akisema kuwa usimamizi madhubuti wa sheria na taratibu zilizowekwa ni sehemu imara na makini itakayowanufaisha watanzania ambapo watakuwa wamemuunga mkono kwa vitendo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli ambaye amejidhatiti kwa mtazamo wa kuwanufaisha watanzania kupitia rasilimali zao.

Kanuni ya madini ya mwaka 2018 imeelekeza kuwa mgodi wowote unapoanza asilimia 100% za watoa huduma za chakula wanapaswa kuwa watu wa wananchi wa Tanzania, Pia huduma za ulinzi kwa asilimia 100% zinapaswa kutolewa na kampuni za ndani. Hivyo wataalamu wa sekta ya madini ni lazima kusimamia Kanuni hizo kwa usahihi.

Mhe Biteko aliongeza kuwa kampuni ya kigeni inaweza kufanya huduma hizo lakini ni lazima iingie ubia na wananchi wa Tanzania na kanuni hizi serikali imeziweka kwa makusudi kabisa ikiwa na mtazamo wa kuwanufaisha wananchi kupitia rasilimali zao.

Mhe Biteko alisema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho kimeingia mkataba na wananchi katika kuwatumikia kwa usimamizi madhubuti kupitia ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015-2020 hivyo viongozi wa CCM wanapaswa kusimamia vyema serikali ili kuongeza tija katika utendaji.

Sambamba na CCM kusimamia vyema serikali pia Naibu Waziri huyo wa Madini amewataka watendaji wote wa serikali kuwa na umoja katika utendaji wao kwa usimamizi madhubuti wa rasilimali madini huku akitoa onyo Kali kwa watendaji wa serikali, Viongozi, vyama vya siasa na wananchi kujihusisha na rushwa kwani kufanya hivyo ni kuzififisha juhudi za serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Magufuli ya kuwainua wananchi wanyonge ili kila mtanzania aweze kunufaika na rasilimali zilizopo.

"Ndugu zangu ni aibu mno dhahabu na madini yetu mengine kuchimbwa nchini lakini yanajenga nchi nyingine, Uhakika wa barabara bado hatuna katika maeneo mengi, maji bado hatuna, sekta ya afya haijaimarika, Zahanati zina shida lakini pia Karibu kila maeneo hatujajidhatiti kwa asilimia 100% Kwa hiyo Mhe Dc naomba sana msicheke na mtu yeyote anayecheza na rasilimali zetu This Must be a Serious business, Mimi najua we have the same spirit lazima tufanye kazi kwa weledi.

Aidha, Naibu Waziri huyo wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe Fadhil Nkulu sambamba na Mbunge wa Jimbo la Msalala Mhe Ezekiel Maige kwa jukumu kubwa la utendaji wao katika kuimarisha juhudi na ufanyaji kazi uliotukuka katika sekta ya madini kwa maslahi ya wananchi na Taifa kwa ujumla huku akisisitiza kuwa kila kiongozi atapimwa kwa matokeo ya utendaji kazi wake na si kwa cheo chake.

" Waheshimiwa Viongozi, Mhe. Rais na wanatanzania watatupima kwa matokeo si kwa nafasi na vyeo vyetu" alisisitiza Mheshimiwa Biteko wakati akihitimisha hotuba yake kwa uongozi wa serikali wilayani Kahama.

MWISHO.
Habarileo Mhariri , Full Shangwe , MJENGWA Blog , Zanzibar Leo , KASSIM MBAROUK , MUHIDIN MICHUZI , Michuzi Iss , Kisiwa Migetto , Raia Mwema , Majira2006 , Uhuru Uhuru , Leo Jambo , GAZETI Tanzania Daima2 , Tanzania Daima , Uhuru Gazeti , Habarileo Gazeti , Zanzibar Leo , Nipashe Gazeti , "MO-BLOG \\(OFFICIAL\\)" , Mtanzania Mtanzania , Dira Mtanzania , Gazeti Mtanzania , "HABARI MPYA.COM" , Picha HabariLeo , Kiongozi Gazeti , Mroki Mroki , Blog Za Mikoani , Blogs Mpalukle , Ahmad Michuzi , Mwananchi Gazeti , Muhidin Sufiani , "Bongoweekend blogspot.com Bongoweekend blogspot.com" , BLOG Iringa , Gazeti La Mtandao , Bashir Nkoromo , Changamoto Gazeti , "amichuzi@yahoo.com" , Tumaini Letu , Odoyo Blog , The Habari , Moh Dewji , Radio Abood , Mohed Dewji Blog , Radio Faraja , Radio Ebony FM , Tanzania Daima , Habari Leo Gazeti , "mjengwablog.com@gmail.com" , Radio Mlimani FM , Wapo Media , Choice FM Radio , Radio Upendo , "fullshgwe@gmail.com" , Radio Kili FM , Jambopapers , Majira Glad , Radio Country FM , Victoria FM Radio 2 , Uhuru Radio , Ahmad Michuzi , Radio Uzima , Radio Kitulo , RADIO CLOUDS , KASSIM MBAROUK , Gazeti Jamhuri , Bnkoromo , "blog@mcl.co.tz" , "sarahkishanda@rocketmail.com" , "sarahmabele37@gmail.com" , "ekundai35@gmail.com" , "fmonyo@gmail.com" , "chikoka2007@yahoo.com" , "rich.ibra@yahoo.com" , Dotto Mwaibale , Mzee , Cathbert Kajuna , Josephat Lukaza , BINAGI MEDIA GROUP , fadhili athumani , Krantz Mwantepele , Francis Dande , John Badi , bertha ismail , Millard Ayo , Dixon Busagaga , Daniel Mbega , deobalile@yahoo.com, Deogratius Rweyunga , Luke Joe , lucypatrick@gmail.com, sek david , Mkala Fundikira , Allan Lucky , avila kakingo , Emmanuel Shilatu , Mallya Michael , omar swai , Fredrick Bundala , Dickson Zedekia , Sherehe Yetu , Migodela , RAHEL PALLANGYO , Mubelwa Bandio , Judy Mwaheleja , Kadama Malunde , Vbusiness ITSolutions , ANDREA NGOBOLE , Northmarablog Info , Rhevan Studio , Tonemg Info , Mbeya Yetu , John Kitime , Mtangazaji Maduhu , Elihuruma Chao , abdulhaigadsi@hotmail.com, Rashidi Juma , Ali Mwambola , Othman Michuzi , Pamela Mollel , emmanuel filbert , della.media@ymail.com, "MUHIDIN MICHUZI ,, John Bukuku ,, Zainul Mzige ,, Mroki Mroki ,, Josephat Lukaza ,, Ahmad Michuzi ,, Othman Maulid ,, Robert Okanda ,, Othman Michuzi ,, Maggid Mjengwa ,, Shamim a.k.a Zeze ,, John Badi ,, Haki Ngowi ,, Jestina George ,, Cathbert Kajuna ,, Mbeya Yetu ,, Deogratius Rweyunga ,, Yusuf ALbadi ,, Maxence Melo Mubyazi ,, Luke Joe , "Ahmad Michuzi ,, Adam Mzee ,, John Bukuku ,, Francisgodwin2004 ,, MUHIDIN MICHUZI ,, Othman Michuzi ,, Josephat Lukaza ,, Cathbert Kajuna ,, Mroki Mroki ,, Maggid Mjengwa ,, Haki Ngowi ,, John Badi ,, Robert Okanda ,, Othman Maulid ,, Richard Mwaikenda ,, Deogratius Rweyunga ,, Yusuf ALbadi ,, Mbeya Yetu ,, Luke Joe ,, Shamim a.k.a Zeze , Mohamed Ramadhani , Emanuel Madafa , MKALA FUNDIKIRA , Sophia Mbeyu , msomisi.mbenna@solutionblocks.com, Ally Shaaban , Sonda Sondacom , Lindi Yetu , Ayoub Mzee , Faustine Ruta , Matukio 360 , Woinde Shizza , Jamvi la Habari Tanzania , Aloyson Jr , King Jofa , Bumi Musese , sayi manyanda , Khalfan Mlulu , assenga oscar , info@mabadiliko.co.tz, "fkatulanda@gmail.com" , Gadiola Emanuel , Arden Kitomari , JOHN MPEKUZI , "jacksonjuve@yahoo.com" , Alfred Mlonganile , Elizabeth Luanda , Evarist Chahali , Kassim Rajab , Henry Mdimu , Henry Mdimu , Dotto Mwaibale , bakaringamba@yahoo.com, Prosper Minja , Daniel Chongolo , PROSPER KWIGIZE , deusdedit vallery moshi , Patrick Eusebio , Simon Kitururu , Abood Msuni , Aidan Leonce , Allan Kagimbo , Blog Za Ugiliki , Bongo celebrity , bongo picha , bongo5 , Biche , Chinga one , Chris Bennet , Cyprian Lubuva , De Masho , Issaya Lupogo , Kambi Mbwana , Kelvin Manaseh , Kenny Mziray , La Princessa , reala , Safari DC , Samwel Urassa , Sara , sisty massawe , Sporah Show , tegemea easser , TOLLYz KITCHEN , uledz son , unique models , vipaji blogspot , Waziri Dello , william malecela , "Gazeti ,, Cathbert Kajuna ,, francisgodwin2004@yahoo.com,, woindeshizza@yahoo.com,, william malecela ,, Henry Mdimu ,, Kambi Mbwana ,, mwaikenda@gmail.com,,rmziwanda@gmail.com,, Alex Kassuwi ,, Sunday Shomari ,, Swahili Villa ,, Bongo Clan ,, fredynjeje@live.com,, Josephat Lukaza ,, Josephat.lukaza@yahoo.com,, JACKSON AUDIFACE ,, Uwazi Publishers ,, Adam Mzee ,, kiishweko orton ,, Abdulwakil Saiboko ,, Bernard" , Arnold Balati , Arnold Balati , Arnold Kayanda , ASILI YETU TANZANIA , Beda Msimbe , Gody Godwin Unstoppablé , woinde shizza , seif semmy , JAFE JACKSON , vicentkigosi@gmail.com, "wanabidii@googlegroups.com" , Cassius Rusticus , Mzee Maganga , Abubakar Abdullah , Dickson Mkama , amani masue , Subi , Jestina George , mbeyayetu@gmail.com, Jane John , DINA ZUBEIRY , Mroki Mroki , Chemi Kadete , "dina_marios@yahoo.com" , Jerome Risasi , Abby Mrisho , John Badi , woinde shizza , "Gazeti ,, Cathbert Kajuna ,, francisgodwin2004@yahoo.com,, woindeshizza@yahoo.com,, pamela.mollel@yahoo.com,, william malecela ,, Henry Mdimu ,, Kambi Mbwana ,, mwaikenda@gmail.com,, rmziwanda@gmail.com,, Alex Kassuwi ,, Sunday Shomari ,, Swahili Villa ,, Bongo Clan ,, fredynjeje@live.com,, Josephat Lukaza ,, Josephat.lukaza@yahoo.com,, ACKSON AUDIFACE ,, Uwazi Publishers ,, Adam Mzee ,, kiishweko orton ,, Abdulwakil Saiboko ,, Bernard" , rmziwanda regina , Alex Kassuwi , Sunday Shomari , Swahili Villa , Bongo Clan , Fredy Njeje , "Gazeti ,, Cathbert Kajuna ,, francisgodwin2004@yahoo.com,, woindeshizza@yahoo.com,,amela.mollel@yahoo.com,, william malecela ,, Henry Mdimu ,, Kambi Mbwana ,, mwaikenda@gmail.com,, rmziwanda@gmail.com,, Alex Kassuwi ,, Sunday Shomari ,, Swahili Villa ,, Bongo Clan ,, fredynjeje@live.com,, Josephat Lukaza ,, JACKSON AUDIFACE ,, Uwazi Publishers ,,, Adam Mzee ,, kiishweko orton ,, Abdulwakil Saiboko ,, Bernard" , JACKSON AUDIFACE , Uwazi Publishers , Adam Mzee , kiishweko orton , Abdulwakil Saiboko , Bernard Rwebangira , Robert Okanda , Edwin Moshi , Metty Magese , haki ngowi , Said Powa , Millard Ayo , millard ayo , ally SALUM , Andrew Chale , Salma Msangi , Abby Hass , "abbyd762000@yahoo.com" , "aboubakarsadik@ymail.com" , AJUNA JESSE , "akasiga@gmail.com" , "aloysazia@yahoo.com" , "ankomo25@yahoo.com" , "annatoi1@yahoo.co.uk" , "anu.sanga@yahoo.com" , Faraji Mfinanga , john sambila , harakatiza bongo , ajittz@yahoo.com, "barakamaulid@yahoo.com" , tony man , Maisha Ambangile , Wilfred Mushi , Evance Ngingo , Antony Siame , "sajmdoe@yahoo.com" , Juma Kapipi , Tumainiel Seria , Adelina Lweramula , fakihimusa@yahoo.co.uk, Lucas Kulwa , sheddymc@yahoo.co.uk, mteganifmcommunity@ymail.com, khadija jigge , Borry Mbaraka , mpandafm@gmail.com, mazingirafm@rocketmail.com, Damas Missanga , ayub kalufya , Uvinza FM , John Mude , jabdali2004@yahoo.com, "pambazukofm@gmail.com" , "makunguteresia@yahoo.com" , RIZIKI LESUYA , fredy mgunda , "mmtazamo@gmail.com" , luckypreny@yahoo.com, Friday Simbaya , Frank Leonard , simon victor , othman maulid , "Mr.Verbs Mr.Verbs" , Khamisi Mussa , Jacob Mugini , Gordon Kalulunga , Imma Mbuguni , Habari 360 , "habarika2@gmail.com" , Ccmmawasilianonaumma Ccm , Super News TV , Sigfred Kimasa , Francis Dande , MWAMBA WA HABARI , Shaban Luppa , rashidzahoro67@gmail.com, sheila simba , oliverseba_2003@yahoo.com, belshazarmwabenga@yahoo.com, tonnyalphonce@yahoo.com, kadisilaus chales , ngojiwike90@gmail.com, omarysultan@yahoo.com, Neema Msafiri , neemamsafiri@gmail.com, Elisa Shunda , chrisidd1988@gmail.com, fahadin siraji , UVCCM TANZANIA , Utouh Tv , Njonanje Samwel Salim , Dully Santo , dbulendu@yahoo.co.uk, Regina Mndeme , John Clement , geofrey jacka , esta malibiche , Prince Eddy , Exaud Mtei , "Blog E. Blog E." , ZEPHANIAH RICHARD , "Mhamila .Rajabu" , Tajiel Urioh , Swahili Times , "cathysungura@yahoo.com" , Yusuf Badi , "mandolintz@yahoo.co.uk" , Halima Kambi , uwazi newspaper , "GSengo ." , Humphrey Shao , Krantz Mwantepele , Frank Wandiba Jr , tusse bruce , Tumaini Msowoya , suleijongo@yahoo.com, karedia2005@yahoo.co.uk, Mark Mpangala , Joel Lyaka , Ebony News , Denicy Mkakala , darmpya2017@gmail.com, Atca Shed , pascalabsalom@gmil.com, Bongo Trending , Hellen Isdory , samwel john , generationfm89.9@gmail.com, pascal absalom , asanula72@yahoo.com

No comments: