Mwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akitowa maelezo ya kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha hilo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud alipotembelea kujionea maendeleo ya matayarisho ya Tamasha hilo litakalohudhuriwa na Wasanii wapatao 400 kutoka Zanzibar Tanzania na Nje ya Tanzania kwa kutowa burudani ya Sanaa yenye ubunifu kwa kutumia Tamaduni za Kiafrika, akitembelea moja ya Jukwaa la amphitheatre.
Likiwa na Kauli Mbiu ya Mwaka huu ni Africa United.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayuob Mohammed Mahmoud akiwa na Mwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akimtembeza sehemu za kumbi zitakazofanyika kwa Tamasha hilo katika Majengo ya Ngome Kongwe Zanzibar.
 |
| Mwenyekiti wa Tamasha la Busara Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akitowa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, wakati alipofanya ziara kutembelea na kujionea maandalizi ya Tamaasha hiyo wakiwa katika Jukwaa kubwa litakalotumika kwa Wasanii kutowa burudani wakati wa maonesho mbalimbali ya Tamasha kwa Wasanii. |