
.
Tumepokea maswali na simu nyingi sana zikiuliza kama
Azam TV itaonesha mechi kati ya Yanga na Al Ahal leo, jibu ni kwamba HAPANA... Ukweli ni kwamba tulipokea maombi toka kwa agent
aliyenunua pambano kwa niaba ya Watu wa Misri ambaye aliomba Azam TV impe
gharama za kuzalisha ili kuweza kupeleka feed yenye ubora wa kimataifa North
Africa & Middle East na ikiwezekana kuonesha nchini Tanzania. Katika vikao
vyote na Agent Azam TV iliweka wazi kuwa ipo tayari kuzalisha bure na hata kama
ikibidi kuonesha delayed sawa kwa kuwa Yanga walionesha wazi kuzuia Live
Coverage nchinikwa kuhofia mapato kupungua. | WAFANYAKAZI WAKIFUATILIA KWA MAKINI
MKUTANO HUO, WOTE KWA UMMOJA WAO WAMEAZIMIA KUTOFANYA KAZI MPAKA
FEDHA YAO YA MWEZI WA KWANZA MPAKA WA TATU ILIPWE TENA KATIKA ONGEZEKO
WALILOAHIDIWA KATIKA VIKAO MBALIMBALI.
WAFANYAKAZI
WA SHIRIKA LA RELI HAPA NCHINI MAPEMA HII LEO WAMEWEKA VIFAA VYAO VYA KAZI
CHINI NA KUISHINIKIZA UONGOZI WA SHIRIKA HILO KUWALIPA STAHILI ZAO KAMA
ILIVYOKUBALIWA NA WAZIRI MKUU,
|

Mgombea
Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Godfrey William Mgimwa akibebwa Juu
na Wanachama/wapenzi wa CCM mara baada ya Kuwasili Viwanja Vya
Stendi-kata ya Ifunda.


Mapokezi
Mazito yakiendelea ya Naibu Katibu Mkuu CCM-Bara na Kijana Mgombea
Ubunge Jimbo la Kalenga Ndugu Godfrey William Mgimwa kwenye uwanja wa
Stedi-Kata ya Ifakara hii leo wakati wa Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni
za Ubunge Jimbo la Kalenga. ![]() |
|
Uamuzi
huo umetangazwa leo (Februari 27 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kwa pamoja na
Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Kocha Poulsen mbele ya waandishi wa habari.
Rais
Malinzi kwa niaba ya TFF ametoa shukrani za dhati kwa Kocha Poulsen kwa
ushirikiano na mchango ambao ameutoa kwa Tanzania kuanzia kwenye mpira wa miguu
wa vijana.
Naye
Kim amewashukuru Watanzania kwa ushirikiano waliompatia kwa kipindi cha miaka
mitatu alichokaa nchini kuanzia Mei 2011 alipoteuliwa kuwa kocha wa timu za
Taifa za vijana, na baadaye Taifa Stars.
Akizungumzia
benchi jipya la ufundi la Taifa Stars, Rais Malinzi amesema linatarajiwa
kutangazwa hivi karibuni likiongozwa na kocha kutoka nje ya Tanzania.
|
![]() |
| BAADHI YA MADHARA MAKUBWA YALIYOJITOKEZA KATIKA MGOGORO HUO |
| Ijumaa ya February 22 majira ya 7 kasoro dakika kadhaa nawasili kijiji cha Mijongweni wilayani Hai. |
| Safari yangu hii ni kutizama maenedeleo ya Bib Aziza Mohamed aliyekuwa akiishi chooni baada ya nyumba yake kuezuliwa na mvua yenye upepo mkali ghafla milangoni nakutana na kufuri. |
| Hata pale nilipomwacha siku ya kwanza kufika ,Chooni ambako bibi huyo alihamishia makazi yake pia kulikuwa na kufuri. |
![]() |

![]() |
| Mgombea akisalimia |
![]() |
| Mgombea Grace Tendega akisalimia |
![]() |
| Kamanda Mawazo akiwa na makamanda wa Magulilwa wakiimba na kucheza kabla ya mkutano wa kampeni |
![]() |
| Katibu Mkuu akifurahia jambo na mtoto mdogo wa Kijiji cha Magulilwa baada ya mkutano wa Magulilwa |
.jpg)