TUNATOA HESHIMA ZA MWISHO HAPA MAKAMU WA RAISI NAYE ALIKUWEPO HAPO |
MAKAMU WA RAISI BILALI AKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO |
RAISI JK AKISAINI NAYE KITABU CHA MAOMBOLEZO |
MAMA SALMA KIKWETE AKISAINI KITABU CHA WAGENI WAKATI ALIPOINGIA MSIBANI HAPO LEO |
REGNAD MENGI NAYE NI MMOJA KATI YA WATANZANIA WALIOJITOKEZA KUAGA MASHUJAA HAO LEO |
WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA BERNAD MEMBE NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI NCHIMBI WAKITETA JAMBO KWA MBAALLI NI KATIBU MKUU WA CCM BW KINANA |
MAJENEZA YENYE MIILI YA MAREHEMU HAO MASHUJAA WA TANZANIA IKIWA MAHALI PA KUAGIA TAYARI KWA MAZIKO LEO JIJINI DAR ES SALAAM |
RAISI JK AKIHUTUBIA WAOMBOLEZAJI HAO |
BAADHI YA WANAJESHI WA JESHI LA TANZANIA WAKIWA NA MAJONZI MAKUBWA KATIKA SHUGHULI HIYO |
BAADHI YA WAFIWA MBALIMBALI WAKIWA NA HUZUNI MSIBANI HAPO |
No comments:
Post a Comment