WAZIRI MEMBE AKIFUNGUA MKUTANO HUO JIJINI DAR ES SALAAM |
WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUFUNGUA MKUTANO HUO |
AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUFUNGUA MKUTANO WA SERIKALI ZOTE MBILI WENYE LENGO LA KUWAKUTANISHA KUJADILI USHIRIKIANO WA NCHI HIZO MH MEMBE AMESEMA KUWA KUMEKUWA NA IDADI KUBWA SANA YA WAGONJWA WANAOTOKA TANZANIA KWENDA INDIA KWA AJILI YA MATIBABU JAMBO AMBALO INAHITAJIKA USAFIRI WA UHAKIKA
KATIKA MKUTANO HUO AMBAO UNAHUDHURIWA PIA NA WAZIRIRI WA USHIRIKIANO WA INDIA UTAMALIZIKA KESHO AMBAPO WATAJADILI USHIRIKIANO KATIKA SECTA NYINGINE KAMA BIASHARA,UCHUMI,NK
WAZIRI WA USHIRIKIANO WA INDIA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI |
No comments:
Post a Comment